Baadhi ya maneno haya ya Yesu yaliyo nakiliwa ni “Tubu na kuamini katika Injili.” Maneno tubu na amini hapa yame weka pamoja. Ni kwa nini hivyo, ni kwa sababu kutubu inahusu kufikiri, na kuamini kwetu. Kamusi ya Strong’s inaeleza neno hili tuba ni kama “kufikiria upya” au “kufikiria tena”.
Epu fikiri haya: Wayahudi iliwapasa kupitia mabadiliko makubwa katika imani yao; kwa kutoa imani katika Sheria na habari ya Agano la Kale na kuanza kuamini Injili ya Yesu Kristo na Njia na Kuishi kupya. Taratibu za kale zote zita badilishwa sote na Yesu! Yeye ndiye timilizo la Sheria, Yeye ndiye Baraka iliyo haidiwa, Yeye ndiye Njia na Kushi kupya, Yeye ndiye Chanzo cha Uzima ndani mwetu, etc Ukristo was kweli unahusu YOTE Yesu amesha fanya na yale Ana tenda leo hii ndani na kupitia Waumini Wake.
Maono ya Habari za Neema Ulimwenguni mwoteni kusaidia kanisa kukundua tena Yesu Kristo na kupeleka ujumbe huu ulimwenguni.
Furahia kipindi cha Mesa ya Kristo na ukumbushwe ya kwamba “ Kristo ndani yako ni tumaini la utukufu”.
Nakala zinaweza kuipigwa chapa mradi zina chapishwa katika
ukuu wake wote na pongezi zitolewe kwa to Global Grace News http://www.globalgracenews.org.